A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, May 19, 2020

DK.SHEIN ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA HOSPITALI NA KITUO CHA UTAFITI TUNGUU

DSC_0265AAA-768x615
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akiangalia ramani ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa inayotarajiwa kujengwa Binguni  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati alipotembelea Eneo maalum la ujenzi huo leo akiwa katika ziara maalum ya kikazi (kulia) Injinia wa Ujenzi Ramadhan China na (katikati) Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed.
DSC_0327AAA-1024x820
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiangalia ramani ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa inayotarajiwa kujengwa Binguni  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati alipotembelea Eneo maalum la ujenzi huo leo akiwa katika ziara maalum ya kikazi (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, (kulia) Injinia wa Ujenzi Ramadhan China na (katikati) Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed.
DS-2354AAA-1024x681
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya  Bi Asha Ali Abdalla (wa pili kulia) alipotembelea kituo cha Utafiti wa Afya  Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja  akiwa katika ziara maalum aliyoifanya leo (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheir na (wa pili kushoto) Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages