Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Plc, bw. Sunil Colaso akimwaga udongo ishara ya kuuaga mwili wa marehemu Omari Rashid Nundu aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi ya Airtel Tanzania Plc aliyefariki siku ya Jumatano Septemba 11, 2019.
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Plc, bw. Sunil Colaso akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mwenyekiti wa bodi ya Airtel Tanzania Plc aliyefariki siku ya
No comments:
Post a Comment