A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, August 26, 2019

Vodacom yaunga mkono serikali usajili wa alama za vidole

Meneja wa Vodacom Tanzania Plc wilaya ya Kinondoni, Suleiman Amri akimsajili Mama Maria Nyerere kwa njia ya alama za vidole nyumbani kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc inaendelea kuunga mkono zoezi hilo lililoainishwa na serikali na kuhamasisha watu wote kujisajili kwa njia ya alama za vidole ambayo ni ya haraka na haina gharama yeyote.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages