MASHABIKI mbalimbali wa soka wamezungumzia kinachoendelea katika mitandao ya kijamii ikihusisha kutetereka kwa cheo cha ofisa habari wa klabu ya Yanga.
Hiyo imetokana na kutojaa kwa mashabiki wa Yanga uwanjani huku wapinzani wao Simba wakijaza uwanja.
No comments:
Post a Comment