Beki wa machimbo FC Ekson
Kavali, (katikati), akijaribu kumtoka Mshambuliaji wa Magereza FC, Frank
William (kushoto), wakati wa mchezo wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea
katika viwanja vya shule ya Msingi Misitu Kivule, ambapo katika mchezo huo
Magereza iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Machimbo FC Dotto
doto, akikamata mpira wakati wamchezo
wao dhidi ya Magereza FC katika mchezo wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea
katika viwanja vya shule ya Msingi Misitu Kivule, ambapo mchezo huo umemalizaka
Magereza ikiibuka na ushindi wa 1-0
mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Friday, July 12, 2019
LIGI YA PROPHET SUGUYE YAFIKIA HATUA YA ROBO FAINALI UKIPIGWA NJE.
Tags
MICHEZO#
Share This
About kilole mzee
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment