Beki wa Msongola
Joging FC Mark Mome, akimdhibiti Mshambuliaji wa Fair Play FC wakati wa mchezo
wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya shule ya Msingi
Misitu Kivule ambapo katika mchezo huo Fair Play iliibuka na ushindi wa 7-6 kwa
mikwajui ya penati mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Msongola
Joging Fc akijaribu kuufuata mpira amb ao ulimshinda nguvu nakwenda chini wakati
wamchezo wao dhidi ya Fair Play FC wakati wa mchezo wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya shule ya Msingi Misitu Kivule ambapo katika
mchezo huo Fair Play iliibuka na ushindi wa 7-6 kwa mikwaju ya penati mchezo
huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu
hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea
katika viwanja vya shule ya Msingi Misitu Kivule ambapo katika mchezo huo Fair
Play iliibuka na ushindi wa 7-6 kwa mikwaju ya penati mchezo huo umepigwa leo
viwanjani hapo.
Nahodha na Mshambuliaji
wa timu ya Kivule Forest FC Jovin Baroteli, mwenyejezi nyeupe akijaribu kuwatoka Mabeki wa Biashara FC wakati wa mchezo wao katika
ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi
Misitu Kivule, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam ambapo mchezo huo
umemalizika kwa timu ya Kivule Forest kuibuka na ushindi wa 3-1 mchezo huo
umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda
mlango wa Biashara FC akikamata mpira
uliopigwa na mshambuliaji wa Kivule Forest, Jovin Baloteli, wakati wa mchezo
wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya shule ya Msingi
Misitu Kivule ambapo ambapo mchezo huo umemalizika kwa timu ya Kivule Forest kuibuka na
ushindi wa 3-1 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo huo.
No comments:
Post a Comment