A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, June 25, 2019

Wafanyakazi wawili wa TARURA wafariki kwa ajali


Wafanyakazi wawili wa TARURA Mkoa wa Songwe wamefariki Dunia na wengine 3 kujeruhiwa baada ya gari waliyokuwa wamepanda kugongana na lori maeneo ya Izazi kata ya Izazi, barabara kuu ya Iringa-Dodoma, Kamanda wa Polisi Iringa Juma Bwire amethibitisha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages