A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, June 25, 2019

Ni mradi bomu, ni mradi wa ovyo wa kifisadi - Rais Magufuli



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mradi wa nyumba za Dege Kigamboni kama wa ovyo.

Amesema hayo leo wakati wakati akizindua Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG ya Taifa Gas
Tanzania Limited katika eneo la Vijibweni Kigamboni Jijini Dar es salaam.

"Ni mradi bomu, ni mradi wa ovyo wa kifisadi, tumeshawaeleza haya NSSF pamoja na Bodi washughulikie watoe mawazo yao, na ninyi wananchi wa Kigamboni pamoja na uongozi wa mkoa na ninyi mtoe mawazo yenu kwamba ni namna gani tunaweza kuyatumia katika njia iliyo sahihi.

Ameendelea kwa kusema, "Kama ni kuyatoa yawe mabweni ya chuo, nyumba za wafanyakazi. Hatuwezi kuiacha 'investment' kubwa kama hiyo imekaa bila shughuli bila kupewa majibu,".

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages