A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, June 8, 2019

SUGUYE CUP YAZIDI KUPAMBAMOTO KIVULE

Mshambuliaji  wa timu ya Miembeni  FC  James John, akijaribu kuwatoka mabeki wa  Ston Town FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitoka kwa sare ya 1-1.  Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Beki wa Ston Town, Twailu Khamis, akiokoa moja ya shambulizi wakati wakichuana na  Miembeni FC, katika mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shuleya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuri kwa kutoka  sale ya 1-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
 Mlinda mlango  wa Ston Town, Omari Fadhili akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Miembeni FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet Suguye  Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli kwa kutoka  sale ya 1-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
 Beki wa Ston Town, Omary Housen , akirudisha mpira kwa mlinda mlango wake Omari Fadhili, katika moja ya hela heka wakati wa mchezo wao na Miembeni FC, katika  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanjabvya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli kwakutoka  sare ya 1-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitoka kwa sale ya 1-1.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages