A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, June 26, 2019

RC Tanga aeleza kujipanga kutokomeza dawa za kulevya


Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amesema kuwa Serikali inaendelea kujitahidi kuhakikisha inatokomeza biashara ya dawa za kulevya katika mkoa huo ikiwemo kufanya operesheni maalum kwenye mipaka ambayo inapakana na nchi jirani ya Kenya.

Shigela ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi na ukaguzi wa mabanda ya biashara pamoja na taasisi mbalimbali zilizofika katika Viwanja vya Tangamano kwaajili ya kutoa huduma kwa wananchi ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Kupambana na Dawa za Kulevya duniani ambayo kitaifa yatafanyika Kesho Juni 26 mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages