A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, June 26, 2019

Rasmi: Kapteni wa Mbwana Samatta ajiunga na klabu ya Ligi kuu ya Uingereza

Klabu ya Brighton inayoshiriki Ligi kuu ya Uingereza imekamilisha usajili wa winga Leandro Trossard kutoka klabu ya Genk ya Ubelgiji kwa kitita cha £15m.

Mchezaji huyo mwenye miaka 24 alisaini kandarasi ya miaka mnne na klabu hiyo na jana alifanyiwa vipimo vya afya.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages