Beki wa Bodaboda FC, akipiga mpira kwakichwa kuokoa moja ya shambulizi
wakati wakichuana na Kitinye FC, katika mchezo wa Ligi ya
Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shuleya Msingi Misitu
Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kitinye iliibuka na
ushindi wa 2-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji
wa Bodaboda FC akihamisha mpira katika moja ya heka heka wakati wa mchezo wao
na Kitinye FC, katika Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea
katika Viwanjabvya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la
DaresSalaam ambapo timu ya Kitinye iliibuka na ushindi wa 2-1. Mchezo huo
umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda
mlango wa Kitinye FC, akikamata mpira dhidi ya mchezo wao na Bodaboda FC,
wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika
Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
ambapo timu ya Kitinye iliibuka na ushindi wa 2-1. Mchezo huo umepigwa leo
viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi ya
Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu
Kivule, nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu ya Kitinye iliibuka na
ushindi wa 2-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment