A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, May 20, 2019

Hawa ndiyo waamuzi wa mchezo wa Simba SC V Sevilla


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza Waamuzi watakaochezesha mchezo wa
kirafiki wa kimataifa kati ya Simba na Sevilla.

Simba SC ambao ni washindi wa tatu kwenye michuano ya SportPesa Cup watamenyana na Sevilla ya Hispania katika Uwanja wa Taifa Mei 23,2019.

Muamuzi wa Katikati atakua Elly Sasii, muamuzi msaidizi namba moja Mohammed Mkono kutoka Tanga, muamuzi msaidizi namba mbili Soud Lila wa Dar es Salaam na muamuzi wa akiba atakuwa Jonesia Rukyaa kutoka Kagera.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages