A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, March 18, 2019

Picha: Rais Magufuli na Rais Mstaafu Kikwete wakutana leo msibani


Rais John Magufuli akiwa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wameungana na familia ya marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita, Mhe. Vicky Kamata ambaye  pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages