A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, March 18, 2019

Mrithi wa Ephraim Kibonde apatikana, Clouds Media watoa taarifa

Clouds Media Group imemteua Mtangazaji Paul James (PJ) kuungana na Gardner G Habash pamoja na George Bantu katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM.

Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo pengo la Mtangazaji Ephraim Kibonde kufariki dunia Machi 7,2019.

Mtangazaji Paul James ambaye alikua kwenye kipindi cha asubuhi  'Power Break Fast' sasa atatangaza rasmi kwenye kipindi hicho cha Jahazi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages