A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, March 18, 2019

Matawi ya CUF Zanzibar yabadilishwa na kuwa ACT Wazalendo

Na. Thabit Madai, Zanzibar

Muda mchache baada ya Seif kuhamia ACT wafuasi wa chama hicho wameamua kupaka rangi katika matawi yao na kuyabadili kuwa ya ACT Wazalendo kwa lengo la kumuunga mkono kiongozi yao.
Akizungumza na Mwandishi wetu, Abdulihamid Ali alisema kuwa wameamua kufanya hivyo kwa lengo la kumuunga mkono kiongozi wao ambaye wanamuamini.

"Alipo sisi tupo, popote aendapo na sisi tupo nyuma yake na hama kuingia ACT na kubadilisha matawi yetu" alisema.

"Mapenzi yetu yapo kwake maana tunamuamini hivyo alipo no sisi tupo nyuma yake" aliongeza kusema."

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages