A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, February 19, 2019

Simba SC kuivaa African Lyon leo


Timu ya Simba SC leo itashuka dimbani mkoani Arusha kuiva, African Lyon katika mchezo wa
Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL).

Simba SC wanashuka dimbani wakiwa na kumbukumbu ya kuwailaza Yanga SC goli 1-0 katika mchezo uliopita na kuiwezesha timu hiyo kufikisha pointi 39 huku ikishika nafasi ya tatu katika ligi.

Kocha Mkuu wa Simba SC, Patrick Aussems amesema kesho atafanya mabadiliko kwa kuwapumzisha baadhi ya wachezaji ambao walicheza mchezo uliopita ili wawe fiti zaidi
kucheza mchezo ujao dhidi ya Azam.

Pia amesema anaamini timu itapata matokeo ambayo yatawafurahisha mashabiki wao. Chini ni baadhi ya picha kutoka kwenye mazoezi ya timu hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages