A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, February 7, 2019

Mwili wa Michael Jackson kufukuliwa


Taarifa kutoka nchini Marekani zinaeleza kuwa Mwili wa marehemu Michael Jackson kufukuliwa kaburini kwa ajili ya uchunguzi kufuatia tuhuma za ulawiti.

Kwa mujibu wa mtandao wa RadarOnline umeeleza kuwa kupitia filamu ya 'Leaving Neverland'  Michael Jackson aliwahi kuwalawiti wavulana zaidi ya 30 wenye umri mdogo.

Hata hivyo watatu tayari wamejitokeza kuzungumza, mmoja anaitwa (Wade Robson) alithibitisha kwenye mitandao kuwa MJ alimlawiti toka ana umri wa miaka saba hadi alipofika 14, mwingine ni James Safechuck.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages