A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, February 11, 2019

helsea yapokea kipigo cha mbwa Mla mayai kutoka kwa Manchester City

Klabu ya Manchester City imeweza kupata ushindi mkubwa dhidi ya Chelsea kwa kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza uliopigwa kwenye dimba la Ethadi.

Magoli ya City yalifungwa Sterling dakika ya 4, 80, Aguero dakika ya 13,18 na 56 na jingine likifungwa na Gundogan dakika ya 24.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages