A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, January 29, 2019

USHAMBA WA MITANDAO WAMLIZA MFALME WA SINGELI

Mwanamuziki wa Singeli, Msaga Sumu amesema kuwa ushamba wa mitandao umefanya watu wapige hela kupitia jina lake nchi za nje.

Msaga Sumu amesema kuwa mwaka 2019 amekuja kivingine na yupo mtandaoni na watu wameshaanza kumfahamu.

"Mtandaoni mimi sipo, mimi ulikuwa hunioni Watsapp hunioni Instagram, hunioni Facebook hilo lilikuwa tatizo kubwa, watu wengi wanaenda nje ya nchi wanapiga show wanasema ni Msaga Sumu kumbe si wao," alisema Msaga Sumu kwenye Mahojiano yake na EATV.

"2019 nimekuja kivingine kabisa nipo Mtandaoni watu wananiona, wanasema kumbe Msaga Sumu ndio huyu hiyo ndiyo sababu kubwa."

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages