A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, December 19, 2018

Mwana FA atambulisha manukato yake

 Msanii Mkongwe wa kizazi kipya Mwana FA kupitia Instagram akaunti yake ameamua kutambulisha bidhaa yake ya body sprays  inayokwenda kwa jina la FYNbyFalsafa mahususi kwa ajili ya jinsia zote.

Since wameamua kunifurahisha kwa kumfukuza Mreno,na mi nimeona tujifurahishe tu wenyewe pia na sisi,tunukie tu vizuri..kwani kitu gani bwana 😀
____
Waungwana, ndugu zangu wapendwa, body sprays zetu hizi hapa @FYNbyFalsafa; blue ya kiume na pink ya kike... imagine bei ya jumla ni TZS 4,000 kwa moja, SHANGAA WEWE, na niamini zitafanya unukie vizuri SANA...😀
____
Kuanzia wiki ijayo mzigo utakuwa madukani. Yeyote anayetaka kufanya pre-order ama kuwa msambazaji wasiliana nasi kwa namba +255766170270 au email management@mwanafa.com; nawashukuru kabisa. 🙏🏽
____
| Smell FYN | Be FYN | #FYNbyFalsafa |

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages