Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Samwel
Shoo (wa nne kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 500 ya
saruji yenye thamani ya zaidi ya sh milioni sita kwa Kaimu Mkuu wa Shule ya
Sekondari Mpwapwa, Omari Twakali (wa tatu kushoto) iliyotolewa na kampuni hiyo
kusaidia ukarabati wa shule hiyo ambayo ni moja ya shule kongwe za sekondari
nchini. Hafla ya makabIdhiano ilifanyika katika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga
juzi mwa wiki. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa TCPLC.
Meneja Machimbo wa Kampuni ya Saruji Tanga
(TCPLC), Godwin Kamando akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 500 ya saruji kwa
Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mpwapwa, Omari Twakali (wa tatu kushoto)
ilyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ukarabati wa shule hiyo ambayo ni moja ya
shule kongwe za sekondari nchini katika. Hafla ya makabidhiano yalifanyika
katika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga juzi.
No comments:
Post a Comment