Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa njiapanda ya KIA mara baada ya kusimamishwa
msafara wake alipokuwa anaelekea katika uwanja wa ndege wa kimataifa
KIA kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara
ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.
Baadhi
ya wananchi wa njiapanda ya KIA wakishangilia kwa furaha wakati Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza nao mara baada ya kusimamishwa msafara wake alipokuwa
anaelekea katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA kuelekea Dar es
salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia
septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa njiapanda ya KIA mara baada ya kusimamishwa
msafara wake alipokuwa anaelekea katika uwanja wa ndege wa kimataifa
KIA kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara
ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa pamoja na Bi.Anna E lisha Mgwila mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na
Bw.Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha katika uwanja wa ndege wa
kimataifa KIA kabla ya kuanza safari ya kuelekea Dar es salaam akitokea
mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017
hadi Septemba 25,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Bi.Anna Elisha Mgwila mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kulia
ni Bw.Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha katika uwanja wa ndege wa