Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es
salaam Bw. Charles Sumbwe akikabidhi msaada wa mashine mbili za Kupima
Kiwango cha Hewa na Mapingo ya Moyo kwa Watoto wachanga (Pulse Oxmeter)
kwa Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt.
Ernestina Mwipopo jijini Dar es salaam, Kampuni hiyo imetoa mashine hizo
zenye thamani ya shilingi milioni 2.8 na vitu mbalimbali kwa ajili ya
watoto katika hospitali hiyo jumla ya msada wote ni shilingi milioni
3.8.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Saturday, September 30, 2017
Home
BIASHARA
KAMPUNI YA BIMA YA MGEN INSURANCE YATOA MSAADA WA MASHINE MBILI ZA KIPIMA KIWANGO CHA HEWA NA MAPIGO YA MOYO KWA WATOTO WACHANGA HOSPITALI YA MAWANANYAMALA
KAMPUNI YA BIMA YA MGEN INSURANCE YATOA MSAADA WA MASHINE MBILI ZA KIPIMA KIWANGO CHA HEWA NA MAPIGO YA MOYO KWA WATOTO WACHANGA HOSPITALI YA MAWANANYAMALA
Tags
BIASHARA#
Share This
About kilole mzee
BIASHARA
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment