Mheshimiwa diwani akichanganya kuponi.
Kazi ya kuchanganya kuponi ikiendelea.
Mheshimiwa diwani akiwa ameshika kuponi ya ushindi, iliyotoka Gazeti la Championi.
Mheshimiwa diwani akiwa ameiinua kuponi juu.
Diwani Lema akisoma jina la mshindi wa nyumba, aliyemshikia kipaza sauti ni MC Chaku.
Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho akizungumza kwenye droo hiyo kubwa ya Shinda Nyumba.
Meneja Mrisho akipeana mikono na Diwani Lema
Diwani Lema akizungumza na watu waliofika kushuhudia droo hiyo.
Msomaji akichagua kuponi ya mshindi wa zawadi ya dinner set.

Mhariri wa Uwazi, Elvan Stambuli (kulia) akiwa na mhariri mwenzake, Sifael Paul anayesimamia Gazeti la Ijumaa Wikienda.
Abdallah
Hemed (kushoto), afisa kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha, akiandika
jambo huku akifuatilia droo hiyo, pembeni yake ni Meneja Mrisho.

No comments:
Post a Comment