Sean ‘Diddy’ Combs ni kama mwanga kwenye giza. Rapper huyo ametajwa
kuongoza orodha ya mastaa wa Hip Hop waliolipwa fedha nyingi mwaka huu,
hilo ni kwa mujibu wa jarida a Forbes.
Rapper huyo ametajwa kulipwa kiasi cha dola milioni 130 kwa miezi 12
iliyopita. Drake anafuata kwenye orodha hiyo akiwa amelipwa dola milioni
94.
Wakati huo huo Jay Z ambaye orodha iliyopita alishika namba mbili
ameporomoka mpaka katika nafasi ya tatu akiwa amelipwa dola milioni 42
kwa mwaka huu. Hii ni orodha ya mastaa 10 walioongoza kulipwa zaidi.
1. Diddy
2. Drake
3. JAY-Z
4. Dr. Dre
5. Chance the Rapper
6. Kendrick Lamar
7. Wiz Khalifa
8. Pitbull
9. DJ Khaled
10. Future
Post Top Ad
Your Ad Spot
Thursday, September 28, 2017
Diddy azidi kuwaburuza mastaa wa Hip Hop duniani
Tags
BURUDANI#
Share This
About kilole mzee
BURUDANI
Labels:
BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment