A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, August 11, 2017

WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliozinduliwa jijini Dar es salaam, kulia ni Waziri wa TAMISEMI Simbachawene. na Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa (kushoto) akimkabidhi zawadi Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa (kushoto) akionyesha kitabu cha mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliozinduliwa jijini Dar es salaam pamoja na Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates  na (kulia) ni Waziri wa TAMISEMI Simba Chawene.
Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya afya wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya afya katika uzinduzi huo
Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates (kushoto) akisaini kitabu cha wageni wakati alipokutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa pili (kushoto) katika ofisi ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es salaam ili kuzindua mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa afya.
Wadau mbalimbali wa sekta ya afya waliohudhulia kwenye uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages