Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Mikoa na
Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma jana Juni 15, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aki kukizindua kitabu
cha "Mwongozi wa kitaifa wa Usimamizi wa Huduma za Mifugo" kwenye
Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma, Juni15, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi,
Dkt. Charles Tizeba kitabu cha "Mwongozi wa kitaifa wa Usimamizi wa
Huduma za Mifugo" baada ya kukizindua kwenye Mkutano wa Maafisa Mifugo
wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma, jana
Juni15, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi,
Dkt. Charles Tizeba baada ya kufungua Mkutano wa Maafisa Kilimo wa
Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha mipango mjini Dodoma Juni 15,
2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George
Simbachawene na Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi,
William Tate Ole- Nasha.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Grace Matemu ambaye ni Meneja wa
tawi la Benki ya NMB la Bunge wakati alipokwenda katika tawi hilo mjini
Dodoma kupata huduma za kibenki jana Juni 15, 2017.
No comments:
Post a Comment