Balozi
wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akipokewa kwa nyimbo za taifa
baada ya kuwasili kwenye Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem kabla ya
kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa taifa hilo Mhe. Reuven
Rivlin
Balozi
wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akijitambulisha kwa Rais wa
taifa hilo Mhe. Reuven Rivlin kabla ya kuwasilisha hati zake za
utambulisho
Balozi
wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akiwasilisha hati za utambulisho
kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini
Jerusalem
Akiwa amevaa baragashia ya kitamaduni ya Kiyahudi maarufu kama "Kippah" Balozi
wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima akiwasilisha salamu za Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
kusoma salamu maalumu za mwanzo wa urafiki mpya wa ushirikiano wa karibu
kwa ki-Hebrew baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa
Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.

wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima akikaribishwa rasmi baada ya
kuwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli pamoja na kusoma salamu maalumu za mwanzo wa urafiki
mpya wa ushirikiano wa karibu kwa ki-Hebrew baada ya kuwasilisha hati za
utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya
nchi hiyo mjini Jerusalem.
Balozi
wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima akikaribishwa rasmi kwa toast
baada ya kuwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na kusoma salamu maalumu za mwanzo wa
urafiki mpya wa ushirikiano wa karibu kwa ki-Hebrew baada ya kuwasilisha
hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin
Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.
Balozi
wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima akiwa katika mazungumzo na
Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini
Jerusalem.
No comments:
Post a Comment