A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, March 31, 2025

Rais Samia ahutubia Baraza la Eid El Fitr Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) Mama Shamim Khan mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki kwenye Baraza la Eid El Fitr tarehe 31 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) Mama Shamim Khan mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki kwenye Baraza la Eid El Fitr tarehe 31 Machi, 2025.
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally akizungumza kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.
Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages