A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, December 8, 2023

BODI YA MAZIWA YAZINDUA BIDHAA MPYA YA MTINDI LAINI ULIOONGEZWA VIRUTUBISHI KWAAJILI YA WATOTO MASHULENI

Katibu Tawala Msaidizi Uchumj na Uzalishaji Mkoa wa Dar es Salaam Elizabeth Mshote akigawa maziwa kwa mmoja ya wanafunzi kuashiria uzinduzi rasmi wa unywaji wa maziwa mashuleni pamoja na uzinduzi wa bidhaa mpya ya MTINDI LAINI ULIONGEZWA VIRUTUBISHI ulioandaliwa na Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Kilimanjaro fresh ili kuhakikisha kuwa watoto wanapata lishe bora kwakununua maziwa hayo kwa bei ya shilingi mia tano yakitanzania
Katibu Tawala Msaidizi Uchumj na Uzalishaji Mkoa wa Dar es Salaam Elizabeth Mshote akizungumza wakati wa Uzinduzi Rasmi wa unywaji wa maziwa mashuleni pamoja na uzinduzi wa bidhaa mpya ya MTINDI LAINI ULIONGEZWA VIRUTUBISHI ulioandaliwa na Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Kilimanjaro fresh amesema serikali inaendele kutekeleza mpango wa unywaji maziwa shuleni kwa lengo la kuhakikisha afya za watoto zinaendelea kuimarika kwakununua maziwa hayo kwa bei ya shilingi mia tano yakitanzaniaMwandamizi kutoka shirika la Viwango Tanzania TBS Stephen Rwabunywenge akizungumza wakati wa Uzinduzi Rasmi wa unywaji wa maziwa mashuleni pamoja na uzinduzi wa bidhaa mpya ya MTINDI LAINI ULIONGEZWA VIRUTUBISHI ulioandaliwa na Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Kilimanjaro fresh ili kuhakikisha kuwa watoto wanapata lishe bora Amesena kuwa kama shirika la Viwango Tanzania tunahakikisha Kila bidhaa mpya inayoingia sokoni lazima tuikague nakuipa kibali
Mkuu wa Miradi kutoka shirika lisilo la kiserikali la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) Dk. Winfrida Mayilla akizungumza wakati wa Uzinduzi Rasmi wa unywaji wa maziwa mashuleni Uzinduzi huo upo chini ya Bodi ya maziwa kwakushitikiana mashirika ya siyokuea ya kiserikali Global Alliance na Kilimanjaro Fresh Kwa lengo la kuhakikisha wanatekeleza mpango wa unywaji maziwa shuleni kwa lengo la kuhakikisha afya za watoto zinaendelea kuimarika kwakununua maziwa hayo kwa bei ya shilingi mia tano yakitanzania
Afisa Mauzo na Masoko Shirika la Kilimanjaro Fresh Eulalia marandu akizungumza wakati wa Uzinduzi Rasmi wa unywaji wa maziwa pamoja na uzinduzi wa bidhaa mpya ya MTINDI LAINI ULIONGEZWA VIRUTUBISHI ulioandaliwa na Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Kilimanjaro fresh ili kuhakikisha kuwa watoto wanapata lishe bora mashuleni kwakununua maziwa hayo kwa bei ya shilingi mia tano yakitanzania




Msajili wa Bodi ya Maziwa Nchini George Msalia uzinduzi rasmi wa unywaji wa maziwa mashuleni pamoja na uzinduzi wa bidhaa mpya ya MTINDI LAINI ULIONGEZWA VIRUTUBISHI ulioandaliwa na Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Kilimanjaro fresh ili kuhakikisha kuwa watoto wanapata lishe bora kwakununua maziwa hayo kwa bei ya shilingi mia tano yakitanzania







No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages