Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka (kulia), akikakabidhi msaada wa mifuko 100 ya Cement kwa Mtendaji kata wa Kiburugwa Mustapha Nguyu iliyotolewa na Benki ya Tanzania Commercial bank kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa kituo kipya cha polisi cha kata hiyo ikiwa ni utamaduni wa Benki hiyo kujitolea katika kusaidia jamii. hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la
Mbagala Edward Mwoleka (kushoto), akikakabidhi msaada wa mifuko 100 ya Cement
kwa Diwani wa kata ya Kiburugwa Mh. Fatuma Michael iliyotolewa na Benki ya
Tanzania Commercial bank kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa kituo kipya cha
polisi cha kata hiyo ikiwa ni utamaduni wa Benki hiyo kujitolea katika kusaidia
jamii. hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam wengine pichani ni
Meneja
wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria Mutta,
Afisa wa TCB, Adam Lameck.
Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania
Commercial Bank (TCB) Gloria Mutta, (kulia) akikakabidhi
msaada wa mifuko 100 ya Cement kwa Diwani wa kata ya Kiburugwa Mh. Fatuma
Michael iliyotolewa na Benki ya Tanzania Commercial bank kwaajili ya
kuendeleza ujenzi wa kituo kipya cha polisi cha kata hiyo ikiwa ni utamaduni wa
Benki hiyo kujitolea katika kusaidia jamii. hafla hiyo imefanyika leo jijini
Dar es Salaam wengine pichani ni Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial
Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka, Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Betha
Minga, Afisa wa TCB, Adam Lameck. Pamoja na Diwani
wa kata ya Charambe.
No comments:
Post a Comment