A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, July 14, 2022

VODACOM TANZANIA PLC YASHINDA TUZO TATU, MAONESHO YA 46 YA BIASHARA DAR ES SALAAM (SABASABA)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Phillip Mpango (kulia) akimkabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza wa sekta ya mawasiliano Mkurugenzi wa Dijitali na Huduma za Ziada wa Vodacom Tanzania Plc Nguvu Kamando, baada ya kampuni hiyo kuibuka kidedea katika maonesho ya 46 ya Biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam yaliyomalizika kushoto ni Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Bishara Dk. Ashantu Kijaji
Wafanyakazi wa Vodacom wakiserebuka mara baada yakukabidhiwa tuzo yao na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Phillip Mpango
Picha ya Pamoja Katika kuhitimisha maonyesho ya biashara ya 46, Vodacom Tanzania imeibuka tena kuwa mshindi wa jumla kwenye mawasiliano. Hii ni kutokana na muendelezo wa uwekezaji kwenye mitambo, huduma kabambe za kibunifu na rasilimali watu. Huduma mbalimbali kwenye nyanja za afya, elimu, kilimo, huduma za kifedha, bima, burudani na huduma kedekede za kidijitali. Tunawashukuru Watanzania kwa kuendelea kutuamini. Pamoja tunaweza

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages