Kwakutambua mchango na juhudi anazo fanya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan, hasa katika sekta ya Elimu Shule ya wavulana ya Sullivan Provost Boys iliyopo kibaha kwa Mathias imeamua kuungana na Taasisi ya ShuleLife Organization kuanzisha harambee kwaajili ya kuwasaidia wanafunzi wakitanzania walitoka katika mazingira magumu ili kupata mahitaji ya shule
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/DtQrTbbMb7tALz4ZscvVVl
hii ni link kwa ajili ya Kampeni yetu ya *NIKUMBUKE*
saidia kushare watu wengi zaidi waweze kushiriki Hili ni jambo letu sote kuwasadia watoto ni jukumu nletu
Post Top Ad
Your Ad Spot
Monday, May 9, 2022
Home
SKONGA
SULLIVAN PROVOST BOYS SECONDARY NA SHULELIFE ORGANIZATION YAANZISHA HARAMBEE KUSAIDIA WANAFUNZI WANAOTOKA KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KUPATA MAHITAJI YA SHULE
SULLIVAN PROVOST BOYS SECONDARY NA SHULELIFE ORGANIZATION YAANZISHA HARAMBEE KUSAIDIA WANAFUNZI WANAOTOKA KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KUPATA MAHITAJI YA SHULE
Tags
SKONGA#
Share This
About kilole mzee
SKONGA
Labels:
SKONGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment