Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na kuzungumza na Watanzania wanaoishi katika Jimbo la
California Kusini (Southern California) nchini Marekani baada ya futari
leo. (Picha na Ikulu).
Post Top Ad
Friday, April 22, 2022
Rais Samia ashiriki futari na Watanzania waishio California Kusini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment