A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, April 6, 2022

RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA CBE IKULU ZANZIBAR

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof.Wineaster Saria Anderson alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 6-4-2022.
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho Prof.Wineaster Saria Anderson (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 6-4-2022.(Picha na Ikulu)



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho Prof.Wineaster Saria Anderson, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-4-2022.(Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages