A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, April 6, 2022

MCHAKATO WA KUMPATA MSIMAMIZI RELI YA KISASA UVINZA, MUSONGATI NA GITEGA WAANZA

 
NCHI za Tanzania Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC,) zimeanza mchakato wa kumtafuta mtaalamu atakayesimamia Ujenzi wa reli ya kisasa kwa vipande vya Uvinza, Musongati na Gitega.

Hii inakuja siku chache tangu Nchi hizi zisaini makubaliano ya awali kuhusu kuanza mchakato wa kutafuta fedha kwa wahisani zitakazofanikisha ujenzi huo.

Haya yamesemwa na katibu mtendaji wa taasisi ya Ushoroba wa kati Capten Dioudone Dukundane wakati wa mahojiano maalum na wanahabari.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages