Mufti
wa Tanzania Dk. Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ali (kushoto), akipongezwa
na Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid, wakati wa
hafla fupi ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na
kumpongeza kwa kutunukiwa Shahada ya udaktari wa heshima (PHD) na Chuo
Kikuu cha nchini Gambia. (Na Mpigapicha Wetu).
Mufti wa
Tanzania Dk. Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ali (kushoto), akizungumza
katika hafla fupi ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na
pongezi kwa kutunukiwa Shahada ya udaktari wa heshima (PHD) kutoka Chuo
Kikuu cha nchini Gambia.
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid, akizungumza wakati wa
hafla fupi ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na
kumpongeza Mufti wa
Tanzania Dk. Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ali kwa kutunukiwa Shahada ya udaktari wa heshima (PHD) na Chuo
Kikuu cha nchini Gambia.
Mkuu
wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid, akizungumza na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake BAKWATA, Shamim Khan.
Mkuu
wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid (wa pili
kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Dk. Alhad Mussa Salum (kushoto kwake) wakati wa
hafla ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na
kumpongeza Mufti wa
Tanzania Dk. Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ali kwa kutunukiwa Shahada ya udaktari wa heshima (PHD) na Chuo
Kikuu cha nchini Gambia.
No comments:
Post a Comment