A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, September 17, 2021

KMC YATANGAZA JESHI KAMILI

 

IMG-20210916-WA0156

Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM | UONGOZI wa timu ya KMC imetanga wachezaji wake 29 ambao watashiriki Katika msimu mpya 2021/2022 wa ligi kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuanza Septemba 27 mwaka huu.

mujibu wa Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala anasema kuwa kwa upande wa makipa Juma Kaseja, Faruk Shikhalo, Sudi Dondola, Denis Richard.

Kwa upande wa mabeki ni Andrew Chikupe, Ismail Gambo, Mohamed Kassimu, Abdulrazack Mohamed, Kelvin Kijiri, Hassan Khamis Ramadhan Ally Ramadhan, Nickson Clement Kibabage.

IMG-20210916-WA0157

Aliongeza kuwa Katika upande wa viungo Jean Baptiste Mugiraneza, Masoud Abdallah Kabaye Mohamed Samatta, Kenny Ally Mwambungu

Awesu Awesu, Abdul Hillary, Hassan Salum Kabunda, Iddi Kipagwile, Miraji Athuman, Martin Kigi, Emmanuel Mvuyekure.

Pia washambuliaji ni Matheo Anthony, Sadalla Lipangile, Charles Ilamfia, Nassor Saadun, Hassan Kapalata, Clif Buyoya

Upande wa kocha mkuu ni John Simkoko huku pia kocha msaidizi ni Habibu Kondo, Hamad Ally

Huku kocha wa magoli kipa ni fatuma Omary.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages