Waziri wa Viwanda na Biahara Mh Kitila Mkumbo akizungumza na wadau mbalimbali wa sekta ya biashara viwanda na kilimo wakati wa hafla ya Wiki ya Maendeleo ya Viwanda na Biashara kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliohudhuriwa na viongozi wa nchi mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere JINCCRais wa Chemba ya Biashara Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Paul Koyi akizungumza na wadau mbalimbali wa sekta ya biashara viwanda na kilimo wakati wa hafla ya Wiki ya Maendeleo ya Viwanda na Biashara kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliohudhuriwa na viongozi wa nchi mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere JNICC
Waziri wa Viwanda na Biahara Mh Kitila Mkumbo akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mhifadhi Msaidizi kutoka Tanapa Alais Munka (kulia) wakati alipotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya Wiki ya Maendeleo ya Viwanda na Biashara kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliohudhuriwa na viongozi wa nchi mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere JNICC wengine pichani ni M aofisa kutoka Tanapa
Waziri wa Viwanda na Biahara Mh Kitila Mkumbo akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa Bodi ya Sukari Tanzania Grace Kabate wakati alipotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya Wiki ya Maendeleo ya Viwanda na Biashara kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliohudhuriwa na viongozi wa nchi mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere JNICC
Waziri wa Viwanda na Biahara Mh Kitila Mkumbo akipata maelezo kutoka Mkurugenzi Mtendaji wa Mammy's Confectionery Munira Ndossy (kulia) wakati alipotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya Wiki ya Maendeleo ya Viwanda na Biashara kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliohudhuriwa na viongozi wa nchi mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere JNICC
No comments:
Post a Comment