******************************
Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamefariki dunia kwa ajali ya gari mkoani Songwe alfajiri ya leo.
Inasemekana kuwa gari la lilikuwa limewabeba watumishi hao wa TRA liligonga lori kwa nyuma wakati wakilifuatilia gari iliyodhaniwa kubeba magendo.
Kamanda wa Polisi mkoani Songwe Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment