Bondia Twaha Lubaha maarufu Twaha Kiduku amejinyakulia gari baada ya kumtwanga Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe. Lilikuwa pambano la round 10 na Twaha ameshinda kwa pointi
Pambano ni la marudio baada ya Dullah kuona alipigwa kwa bahati mbaya pambano lililopita
No comments:
Post a Comment