A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, August 24, 2021

RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI AKIELEKEA ZAMBIA KUHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE

 

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24,2021 alipokuwa akielekea Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Mhe. Hakainde Hichilema. IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages