A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, August 26, 2021

Msanii Masha love alamba Dume apata dili la Ubalozi

 


Ni Agosti 26, 2021 ambapo Msanii na Video Vixen Masha love amepata mkataba mnono wa milioni 40 wa kuwa balozi wa Sabuni ya Safforn.

Hafla hiyo imefanyika katika hoteli ya Hyatt na kuhudhuriwa na Vyombo vya Habari.

Aidha Masha akizungungumza na waandishi wa habari alisema...”Sina mengi ya kusema nawashukuru Saffron kwa kunipa huu mkataba wa mimi kwenye kutangaza bidhaa zao, kiukweli nimekuwa nikidharaulika sana mitandaoni”– Masha Love

“Watu wananiona chizi ama mtu nisiejielewa ila ni tofauti na watu wanavyonichukulia na pia ningependa kuwashukuru BASATA kwa kunifanya kuwa msichana mwenye heshima na maadili”- Masha Love

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages