A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, August 24, 2021

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, MEJA JENERALI SULEIMAN MZEE AFANIKISHA UNUNUZI WA MTAMBO WA KUCHIMBIA VISIMA MAGEREZANI

 

KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee akikagua gari la kuchimba visima lililonunuliwa na Jeshi hilo kwa ajili ya kupunguza tatizo la maji magerezani na kuboresha kilimo cha umwagiliaji.Gari hilo limegharimu takribani Tsh. Milioni mia tano na hamsini.

Muonekano wa gari la kuchimba visima lililonunuliwa na Jeshi hilo kwa ajili ya kupunguza tatizo la maji magerezani na kuboresha kilimo cha umwagiliaji.Gari hilo limegharimu takribani Tsh. Milioni mia tano na hamsini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages