Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Komando (wanne
kushoto), pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Taifa
ya Biashara NBC Elibariki Masuke (watatukulia), akimuwakilisha
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Theobald Sabi wakifungua bango
kuashiria uzinduzi rasmi wa ufunguzi wa klabu ya bishara mkoani songea
wenye lengo la kuwakutanisha wateja wake wafanya biashara na wenye
viwanda na wadau wengine wengine kutoka kushoto ni Meneja wa Benki ya
NBC Tawi la Songea, Simon Simon Ntwale,
Mkuu
wa Wilaya ya Songea Pololet Komando pamoja na maofisa wa Benki ya NBC
na wateja wake wakiserebuka mara baada ya uzinduzi wa klabu ya
biashara iliyozinduliwa na Benki ya NBC mkoani songea wenye lengo la
kuwakutanisha wateja wake wafanya biashara na wenye viwanda na wadau
wengine wengine
No comments:
Post a Comment