A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, June 13, 2021

WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO NA WADAU WA ZAO LA ALIZETI


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mashine maalum ya kuoteshea alizeti, wakati wa mkutano na wadau wa zao la alizeti, katika ukumbi Catholic Social Hall, Juni 13, 2021, mkoani Singida. Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda.



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakulima Wadogo Edwin Shio kuhusu mbegu ya zao la alizeti, wakati alipotembelea mabanda, kwenye mkutano na wadau wa zao la alizeti, uliyofanyika katika ukumbi Catholic Social Hall, Juni 13, 2021, mkoani Singida.



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Crop Bioscience Solution Limited Wilfred Mushobozi, wakati alipotembelea mabanda, kwenye mkutano na wadau wa zao la alizeti, uliyofanyika katika ukumbi Catholic Social Hall, Juni 13, 2021, mkoani Singida.



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mafuta yanayotokana na zao la alizeti kutoka kwa kampuni ya Singida Fresh Oil Mill, wakati alipotembelea mabanda, kwenye mkutano na wadau wa zao la alizeti, uliyofanyika katika ukumbi Catholic Social Hall, Juni 13, 2021, mkoani Singida. Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda.

  

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa zao la alizeti katika ukumbi Catholic Social Hall, Juni 13, 2021, Mkoani Singida. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages