A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, June 24, 2021

RAIS SAMIA AKISHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA SADC NCHINI MSUMBIJI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Joaquim Chissano uliopo Maputo nchini Msumbiji leo tarehe 23 Juni, 2021.


IMG-20210623-WA0071
IMG-20210623-WA0072
IMG-20210623-WA0073
IMG-20210623-WA0074

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages