A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, May 29, 2021

CCM YACHUKIZWA NA YANAYONDELEA KUFANYWA NA CATHERINE MAGIGE,WENZAKE ARUSHA

 


Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesema kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa  Jumuiya ya Umoja wa Wanawake(UWT) Mkoa wa Arusha wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalum  Catherine Magige.

Kimesema kwamba CCM inaamini katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali, badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

Taarifa iliyotolewa leo Mei 28,2021 na Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka imesema Chama hicho kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na Katiba ya CCM, 

Na Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa UWT Mkoa wa Arusha wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalum Catherine Magige.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages