A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, April 27, 2021

40 ya Hayati aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Magufuli yafanyika

 Mama Janeth Magufuli, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli akiwa na Mama Marry Majaliwa, Mke wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakiwa na Mapadre wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro - Oysterbay mkoani Dar es salaam mara baada ya kumalizika kwa Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Magufuli ikiwa ni siku ya 40 toka afariki dunia Machi 17 mwaka huu.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages